Tanzania Network of Legal Aid Providers (TANLAP)

News

Post date: Thu, 12/06/2018 - 12:13
Comments: 0

Mara nyingi, unyanyasaji dhidi ya wanawake na wasichana imekuwa kawaida na huenda bila kuadhibiwa. #TANLAP inashutumu kwa nguvu zaidi aina zote za unyanyasaji dhidi ya wanawake na wasichana popote inapotokea. #Siku16 #UsalamaWakeWajibuWangu #HearMeToo #16days @UN_Women @NEDemocracy @FCSTZ @WiLDAFTz

Post date: Thu, 12/06/2018 - 12:12
Comments: 0

WANAWAKE WANAONYANYASWA WATAKIWA KUTOA TAARIFA POLISI - Kamanda wa Polisi Dar, Lazaro Mambosasa amewataka Wanawake na Watoto wanaofanyiwa vitendo vya unyanyasaji na ukatili wa kijinsia kuwasilisha malalamiko yao polisi - Mambosasa ametoa kauli hiyo leo wakati akifungua semina ya Askari 160 kuwajengea uwezo kuhusu vitendo vya unyanyasaji na ukatili wa kijinsia kwa Wanawake na Watoto - Amesema Wananchi hawatakiwi kubaki na maumivu moyoni wanapofanyiwa ukatili bali watoe taarifa Polisi kupitia dawati la kupinga ukatili wa kijinsia dhidi ya wanawake na watoto - Amesema Wanawake na watoto ni mak

Post date: Thu, 12/06/2018 - 12:10
Comments: 0

MAADHIMISHO YA WIKI YA MSAADA WA KISHERIA, KAGERA, LEO DEC 01, 2018. Katika salamu zake kwenye maadhimisho ya siku ya Ukimwi duniani, Mhe. Amon Mpanju - Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria alitambua mchango wa taasisi ya TANLAP pamoja na wadau wengine katika kuhakikisha wananchi wanapatiwa huduma ya msaada wa kisheria. Wizara itashirikiana na wadau wote kufikisha huduma kwa wananchi wote. #Siku16 #UsalamaWakeWajibuWangu @wildaftz @thrdcoalition @legal_service_facility @unwomen @humanrightstz @mhola_org

Post date: Thu, 12/06/2018 - 12:04
Comments: 0

MAADHIMISHO YA WIKI YA MSAADA WA KISHERIA, MULEBA, LEO NOV 30, 2018. Kikosi kazi kikiendelea na tathmini kwenye ofisi za MHOLA, wajumbe wakijadili changamoto na mafanikio yaliyotokea kwenye kutoa msaada wa kisheria katika kituo cha afya, Kaigara na shule ya secondari Kaigara. #Siku16 #UsalamaWakeWajibuWangu @wildaftz @thrdcoalition @legal_service_facility @unwomen @humanrightstz @mhola_org

Pages

Reach Us Today

4th Floor, Sky City Mall, Plot no. 403/1&3, Block A, Mlalakuwa
P.O. Box 33856
Dar es Salaam, Tanzania.
Tel:+255 22 2761806 /0746237265