
Huduma za Msaada wa Kisheria Katika Uzinduzi wa Siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia Wilayani Karagwe Mkoani Kagera. Mkuu wa Mkoa wa Kagera Mh. Brig. Gen. Marko Gaguti amefanya uzinduzi huo huku akisisitiza wananchi waache kujichukulia sheria mkononi badala yake wafate sheria na taratibu za nchi.