16 DAYS CAMPAIGN AGAINST GENDER BASED VIOLATION
UZINDUZI WA KAMPENI YA SIKU 16 ZA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA.
Kuanzia tarehe 25 Novemba hadi 10 Desemba, WiLDAF , kwa kushirikiana na UN-Women pamoja na Mtandao wa Kupambana na Ukatili wa Kijinsia (MKUKI), Wadau wa Maendeleo na Asasi za Kiraia wataadhimisha Kampeni ya Siku 16 za Kupinga Ukatili wa Kijinsia. Maadhimisho haya yatafanyika kwa kutoa elimu nakuhasisha umma kupingaukatili wa kijinsia kuhimiza umuhimu waElimu salama kwa wote.
Kauli mbiu ya mwaka huu ni: FUNGUKA PINGA UKATILI WA KIJINSIA: ELIMU SALAMA KWA WOTE.