Matumizi ya TEHAMA katika Magereza Tanzania.

Photos: 

Matumizi ya TEHAMA katika Magereza Tanzania. Waziri wa Katiba na Sheria Prof. Palamagamba John Kabudi akiwa na Jaji Mkuu Tanzania Bara na Jaji Mkuu wa Zanzibar katika viwanja vya Mnazi Mmoja wakisikiliza na kuona matumizi ya TEHAMA katika Magereza Nchini.