Wananchi waendelea kutembelea mabanda kupata elimu na vijarida mbalimbali kuhusiana na msaada wa kisheria na elimu ya sheria.