WIKI YA UTOAJI ELIMU YA SHERIA NA MSAADA WA KISHERIA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA

Photos: 

Wananchi wakiendelea kupata elimu ya sheria na msaada wa kisheria katika viwanja vya mnazi mmoja, Dar es salaam. Mashirika mbalimbali kama CELG, CWCA, LHRC, WiLDAF, TAWLA,WLAC, MWEMA na Kinondoni Paralegal wajitolea kutoa huduma hiyo bure. Wananchi wote wanakaribishwa!!!