Tanzania Network of Legal Aid Providers (TANLAP)

Kikosi cha Kutetea Haki za Mirathi Chaundwa WiLDAF

Thu, 04/11/2019 - 09:17 -- tanlap
Date time: 
Thursday, April 11, 2019 - 09:15

Kikosi cha Kutetea Haki za Mirathi ambamo #TANLAP ni miongoni mwao leo imeshiriki kupitia Mswaada wa sheria ya Mirathi na kutoa mapendekezo ambayo yatasaidia kupunguza migogoro kwenye mirathi.‬ @ Dar es Salaam, Tanzania

Reach Us Today

Biafra/Kanisani, Bwawani Street
Plot No. 434/42, Along Kawawa Road Kinondoni
P.O. Box 33856
Dar es Salaam, Tanzania.
Tel:+255 22 2761806