Tanzania Network of Legal Aid Providers (TANLAP)

MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE

Mon, 03/11/2019 - 10:49 -- tanlap
Date time: 
Friday, March 8, 2019 - 10:45

Katika maadhimisho ya siku ya wanawake kimataifa #TANLAP imealikwa kuungana na Kituo cha sheria na haki za binadamu LHRC kusherehekea siku hii muhimu kwa Wanawake. Legal and Human Rights Centre @ Dar es Salaam, Tanzania

Reach Us Today

Biafra/Kanisani, Bwawani Street
Plot No. 434/42, Along Kawawa Road Kinondoni
P.O. Box 33856
Dar es Salaam, Tanzania.
Tel:+255 22 2761806