Tanzania Network of Legal Aid Providers (TANLAP)

MKURUGENZI MTENDAJI WA TANLAP Bi. CHRISTINA KAMILI AKIZUNGUMZA KATIKA HAFLA ILIYOANDALIWA NA WILDAF KUMPONGEZA MKURUGENZI WAO MSTAAFU DR. JUDITH N. ODUNGA KATIKA UKUMBI WA RUGAMBWA

Mon, 03/11/2019 - 11:07 -- tanlap
Date time: 
Friday, March 8, 2019 - 11:00

"Kutokana na kupewa nafasi na kuaminika kuwa naweza kama mtoto wa kike, nilipewa ukurugenzi wa taasisi ya @tanlaptz katika umri mdogo wa miaka 27 na mpaka sasa najivunia kuaminika licha ya kuwa mwanamke. Christina Kamili, Mkurugenzi - TANLAP #HappyWomensDay #IWD2019 #BalanceForBetter

Reach Us Today

Biafra/Kanisani, Bwawani Street
Plot No. 434/42, Along Kawawa Road Kinondoni
P.O. Box 33856
Dar es Salaam, Tanzania.
Tel:+255 22 2761806