Tanzania Network of Legal Aid Providers (TANLAP)

WIKI YA SHERIA/LAW WEEK

Mon, 02/11/2019 - 10:17 -- tanlap
Date time: 
Saturday, February 2, 2019 - 10:00
Location: 
MNAZI MMOJA

Jaji Mkuu Mstaafu, Mhe. Mohamed Chande Othman amesisitiza Wadau washirikiane na Mahakama kutoa elimu juu ya ufunguaji, uendeshaji na kukata rufaa kwenye kesi, pia ameomba wananchi wajitokeze kujifunza na kufahamu sheria kwa ustawi wa shughuli zetu binafsi na Taifa. #WikiyaSheria

Reach Us Today

Biafra/Kanisani, Bwawani Street
Plot No. 434/42, Along Kawawa Road Kinondoni
P.O. Box 33856
Dar es Salaam, Tanzania.
Tel:+255 22 2761806