Tanzania Network of Legal Aid Providers (TANLAP)

WIKI YA SHERIA/LAW WEEK

Mon, 02/11/2019 - 14:30 -- tanlap
Date time: 
Monday, February 11, 2019 - 13:45

TANLAP imeendelea kutoa elimu na msaada wa kisheria kwa kushirikiana na wanachama wake na kufanikiwa kupata ujumbe wa Majaji ambao waliishauri TANLAP kuratibu vizuri kazi za wanachama wake na ishirikiane na mahakama kuhakikisha huduma inakidhi viwango. #WikiYaSheria

Reach Us Today

Biafra/Kanisani, Bwawani Street
Plot No. 434/42, Along Kawawa Road Kinondoni
P.O. Box 33856
Dar es Salaam, Tanzania.
Tel:+255 22 2761806