Tanzania Network of Legal Aid Providers (TANLAP)

KEMEA UKATILI WA KIJINSIA

Tuna nyakati za kutisha ambazo wanawake na wasichana bado wanakabiliwa na unyanyasaji wa kijinsia. Nyakati za kukata tamaa zinahitaji maamuzi magumu. Uamuzi unapaswa kufanywa ili kukomesha tabia za unyanyasaji na siyo kukaa kimya. #Siku16 #UsalamaWakeWajibuWangu - @UN_Women @NEDemocracy @FCSTZ @WiLDAFTz @USAID @FordFoundation @undptz @OxfamTz @freedomhouse @OpenSocietyEA @IrlEmbTanzania @SwedeninTZ @undptz @IrlEmbTanzania @SayNO_UNiTE @canadaembassy @LSFTanzania @humanrightstz @THRDCOALITION @Women @womenfund_tz

Reach Us Today

Biafra/Kanisani, Bwawani Street
Plot No. 434/42, Along Kawawa Road Kinondoni
P.O. Box 33856
Dar es Salaam, Tanzania.
Tel:+255 22 2761806