Tanzania Network of Legal Aid Providers (TANLAP)

MH. AMON MPANJU, NAIBU KATIBU MKUU WA WIZARA YA KATIBA NA SHERIA AKIFUNGA MAADHIMISHO YA WIKI YA SHERIA NGARA MKOANI KAGERA.

MAADHIMISHO YA WIKI YA MSAADA WA KISHERIA, KAGERA, LEO DEC 01, 2018. Katika salamu zake kwenye maadhimisho ya siku ya Ukimwi duniani, Mhe. Amon Mpanju - Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria alitambua mchango wa taasisi ya TANLAP pamoja na wadau wengine katika kuhakikisha wananchi wanapatiwa huduma ya msaada wa kisheria. Wizara itashirikiana na wadau wote kufikisha huduma kwa wananchi wote. #Siku16 #UsalamaWakeWajibuWangu @wildaftz @thrdcoalition @legal_service_facility @unwomen @humanrightstz @mhola_org

Reach Us Today

Biafra/Kanisani, Bwawani Street
Plot No. 434/42, Along Kawawa Road Kinondoni
P.O. Box 33856
Dar es Salaam, Tanzania.
Tel:+255 22 2761806