Tanzania Network of Legal Aid Providers (TANLAP)

#UsalamaWakeWajibuWangu....#HerSafetyMyResponsibility....#HearMeToo

Mara nyingi, unyanyasaji dhidi ya wanawake na wasichana imekuwa kawaida na huenda bila kuadhibiwa. #TANLAP inashutumu kwa nguvu zaidi aina zote za unyanyasaji dhidi ya wanawake na wasichana popote inapotokea. #Siku16 #UsalamaWakeWajibuWangu #HearMeToo #16days @UN_Women @NEDemocracy @FCSTZ @WiLDAFTz

Reach Us Today

Biafra/Kanisani, Bwawani Street
Plot No. 434/42, Along Kawawa Road Kinondoni
P.O. Box 33856
Dar es Salaam, Tanzania.
Tel:+255 22 2761806