Tanzania Network of Legal Aid Providers (TANLAP)

News

Post date: Tue, 02/12/2019 - 09:20
Comments: 0
Post date: Mon, 02/11/2019 - 15:34
Comments: 0

TANLAP inalaani vikali na inasikitika sana na mauaji ya watoto kumi yaliyotokea #Njombe. Tunawapa pole familia na ndugu kwa misiba hii mikubwa. Tunaungana na wote wanaoziomba mamlaka za Tanzania ziwafikishe katika mikono ya sheria wale wote watakaokutwa na hatia ya matendo haya dhalala. — We are profoundly saddened &horrified by the murders of the 10 children in #Njombe. Our deepest sympathies to their families for the tragic loss of the innocent lives. We reiterate the call to TZ authorities to bring to justice all those guilty of the despicable acts.

Post date: Mon, 02/11/2019 - 15:31
Comments: 0

TANLAP visit to #TIFLD -Tangible Initiatives for Local Development in Tanzania TANLAP ilipowatembelea #TIFLD -Tangible Initiatives for Local Development in Tanzania nakuonana na Mkurugenzi wao Ms. Geline Fuko katika harakati za kuona mchango wao kwenye maendeleo ya mwanamke mapema leo.

Post date: Mon, 02/11/2019 - 15:25
Comments: 0

TANLAP was honored to be in attendance for the Reflection meeting on the implementation on National Plan of action-VAWC 2017/18-2021/22, organized by @WiLDAFTz and Prime Minister office with Mr. Joseph Kiraia, the Director of Coordination as the guest of honor.

Pages

Reach Us Today

Biafra/Kanisani, Bwawani Street
Plot No. 434/42, Along Kawawa Road Kinondoni
P.O. Box 33856
Dar es Salaam, Tanzania.
Tel:+255 22 2761806