Tanzania Network of Legal Aid Providers (TANLAP)

Huduma za Msaada wa Kisheria Gereza la Kitengule- Kyaka

Thu, 11/26/2020 - 20:08 -- tanlap
Date time: 
Thursday, November 26, 2020 - 20:00

Leo TANLAP na wadau wa sheria Mkoani Kagera tulitembelea gereza la Kitengule- Kyaka na kutoa huduma za Msaada wa Kisheria.
Pichani ni Mkuu wa Gereza, Afisa Magereza, TLS, Mwanasheria kutoka ofisi ya Mkuu Wa Mkoa wa Kagera, Mwanasheria kutoka MHOLA, wafanyakazi wa TANLAP na wadau wengine wa sheria.

Reach Us Today

Biafra/Kanisani, Bwawani Street
Plot No. 434/42, Along Kawawa Road Kinondoni
P.O. Box 33856
Dar es Salaam, Tanzania.
Tel:+255 22 2761806 /0746237265