Tanzania Network of Legal Aid Providers (TANLAP)

WIKI YA MSAADA WA KISHERIA

Fri, 11/13/2020 - 09:18 -- tanlap
Date time: 
Friday, November 13, 2020 - 09:15

Wiki ya Msaada wa kisheria imeanza rasmi tarehe 12 Novemba na kitaifa imeadhimishwa mkoani Tanga. Wananchi wa Tanga walijitokeza kwa wingi katika viwanja vya Tangamano ambapo maadhimisho hayo yamefanyika. Shughuli za utoaji Msaada wa Kisheria zitaendelea mpaka tarehe 18 Novemba. Mgeni rasmi katika maadhimisho hayo ni Jaji Amir R. Mruma, Jaji Mfawidhi, Mahakama Kuu Kanda ya Tanga. TANLAP imeshiriki maadhimisho hayo.

Reach Us Today

Biafra/Kanisani, Bwawani Street
Plot No. 434/42, Along Kawawa Road Kinondoni
P.O. Box 33856
Dar es Salaam, Tanzania.
Tel:+255 22 2761806 /0746237265