Tanzania Network of Legal Aid Providers (TANLAP)

Events

Price:
Location:
Date time:
Monday, November 30, 2020 - 08:00
Contact:

Jaji Fahamu H. Mtulya akihitimisha wiki ya Msaada wa Kisheria wilayani Biharamulo-Kagera. Alisisitiza kufata utawala wa sheria na kuwashukuru wananchi kwa kujitokeza kwa wingi kuja kupata huduma ya Msaada wa Kisheria.

Price:
Location:
Date time:
Sunday, November 29, 2020 - 11:00
Contact:

On 28th November, 2020, a team of legal aid providers had the opportunity to provide legal education and legal aid services at Bukoba District Prison at Bukoba where prisons and inmates had the opportunity to receive legal aid education and legal aid services.

Price:
Location:
Date time:
Sunday, November 29, 2020 - 10:45
Contact:

On 28th November, 2020, a team of legal aid providers had the opportunity to provide legal education and legal aid services at Muleba District Prison at Muleba where prisons and inmates had the opportunity to receive legal aid education and legal aid services.

Price:
Location:
Date time:
Friday, November 27, 2020 - 23:00
Contact:

TANLAP na wadau wengine wameendelea kutoa huduma ya Msaada Wa Kisheria kama sehemu ya maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia. Leo tarehe 27 Novemba,2020 tupo kata ya Isingiro wilayani Kyerwa mkoani Kagera. Pia tulimtembelea Mkuu wa wilaya ya Kyerwa ofisini kwake kujadili namna ya kuwafikishia wananchi wake huduma za Kisheria.

Pages

Reach Us Today

Biafra/Kanisani, Bwawani Street
Plot No. 434/42, Along Kawawa Road Kinondoni
P.O. Box 33856
Dar es Salaam, Tanzania.
Tel:+255 22 2761806 /0746237265