Tanzania Network of Legal Aid Providers (TANLAP)

Events

Price:
Location:
Date time:
Tuesday, November 24, 2020 - 21:15
Contact:

Timu ya TANLAP tayari ipo Kagera wilayani Karagwe kwa ajili ya uzinduzi wa kampeni ya siku 16 za kupinga ukatili wa Kijinsia hapo kesho tarehe 25 Novemba na pichani ni Mkuu wa Wilaya ya Karagwe na timu yake pamoja na wafanyakazi wa TANLAP wakiongozwa na Mkurugenzi Mtendaji Bi. Christina Kamili.

Price:
Location:
Date time:
Friday, November 13, 2020 - 09:15
Contact:

Wiki ya Msaada wa kisheria imeanza rasmi tarehe 12 Novemba na kitaifa imeadhimishwa mkoani Tanga. Wananchi wa Tanga walijitokeza kwa wingi katika viwanja vya Tangamano ambapo maadhimisho hayo yamefanyika. Shughuli za utoaji Msaada wa Kisheria zitaendelea mpaka tarehe 18 Novemba. Mgeni rasmi katika maadhimisho hayo ni Jaji Amir R. Mruma, Jaji Mfawidhi, Mahakama Kuu Kanda ya Tanga.

Price:
Location:
Date time:
Friday, October 2, 2020 - 14:30
Contact:

Conference objectives:1. To seek support from governments and bar associations in SADC region for paralegal recognition. 2. To create a platform for paralegal organisations in the SADC region to share information on paralegal work best practices. 3.

Price:
Location:
Date time:
Saturday, August 29, 2020 - 10:30
Contact:

TANLAP in Collaboration with the Office of Kagera Regional Commissioner had the opportunity to engage Local Government Officials (State Actors) and other stakeholders (Non- State Actors) to provide legal aid services in Bukoba- Kagera region. The event was organized on 29th August 2020.

Pages

Reach Us Today

Biafra/Kanisani, Bwawani Street
Plot No. 434/42, Along Kawawa Road Kinondoni
P.O. Box 33856
Dar es Salaam, Tanzania.
Tel:+255 22 2761806 /0746237265