Tanzania Network of Legal Aid Providers (TANLAP)

Events

Price:
Location:
Date time:
Monday, October 21, 2019 - 08:30
Contact:

Mafunzo ya Wazee washauri wa Mahakama ya Mwanzo, tarehe 20/10/2019 yakiwa yanaendelea Mkoani Simiyu. Mkurugenzi wa TANLAP ‬Bi. Christina kamili amehudhuria mafunzo hayo ikiwa ni pamoja na maandalizi ya maadhimisho ya wiki ya msaada wa kisheria mwaka huu. Maadhimisho hayo yameandaliwa na Wizara ya Katiba na Sheria na wadau wengine mbalimbali.

Price:
Location:
Date time:
Friday, October 11, 2019 - 10:00
Contact:

This week from 7th to 10th October 2019, TANLAP visited Anti-GBV Clubs in Secondary schools of Kyerwa, Kayanga,Shunga and Kagango. Clubs have been useful for girls to learn about GBV and are now able to stand and defend for their rights. Establishment of Anti-GBV clubs is part of the project to end violence against women and girls in Kagera supported by UN WOMEN.

Price:
Location:
Date time:
Thursday, September 12, 2019 - 12:00
Contact:

Baadhi ya wanawake wa kikundi cha Mwangaza, Kijiji cha Itoju kata ya Izigo wilayani Muleba, Mkoani Kagera wakielezea namna walivyonufaika na mafunzo kutoka kwa Msaidizi wa Kisheria ambaye alipatiwa mafunzo kupitia utekelezaji wa mradi wa TANLAP kwa kushirikiana na MHOLA chini ya ufadhili wa UN WOMEN.

Price:
Location:
Date time:
Wednesday, September 11, 2019 - 14:15
Contact:

#TANLAP na Msajili wa Legal Aid wakitembelea Ofisi ya Mhola na Polisi Dawati kuona namna huduma ya msaada wa kisheria inavyoendelea kutolewa kwa Kina mama na Watoto Mkoani Kagera. Mradi huu umefadhiliwa na #UNWOMEN Tanzania @ Kagera Region

Pages

Reach Us Today

Biafra/Kanisani, Bwawani Street
Plot No. 434/42, Along Kawawa Road Kinondoni
P.O. Box 33856
Dar es Salaam, Tanzania.
Tel:+255 22 2761806 /0746237265