Tanzania Network of Legal Aid Providers (TANLAP)

UZINDUZI WA KAMPENI YA SIKU 16 ZA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA JIJINI DODOMA

Kutoka DODOMA: Takwimu ya shirika la Afya duniani katika kundi la wanawake 100 duniani wanawake 35 wameshwawahi kufanyiwa vitendo vya ukatili vya kupigwa au kubakwa. Taasisi ya kupambana na Rushwa nchini pia imeanzisha dawati la Rushwa ya ngono, Ni wajibu wetu kutoa ushirikiano ili tuitokomeze ~ | @umwalimu Waziri wa Afya na maendeleo ya jamii #KizaziChenyeUsawa #SimamaDhidiYaUbakaji #orangetheworld #GenerationEquality

Reach Us Today

Biafra/Kanisani, Bwawani Street
Plot No. 434/42, Along Kawawa Road Kinondoni
P.O. Box 33856
Dar es Salaam, Tanzania.
Tel:+255 22 2761806 /0746237265