+255 746 237 265

info@tanlap.or.tz

*HAKI YETU KIKATIBA, TUMEAMUA SASA*

Watu wenye ulemavu wameonesha nguvu na uthubutu wao katika uchaguzi, wakithibitisha kwamba kila kura ni muhimu. Haki zetu kikatiba ni msingi wa maendeleo na usawa. Tumeamua kushiriki, tumeamua kutimiza haki zetu, na hakuna kura inayopotea.
Pongezi kwa watu wote wenye ulemavu waliojitokeza kupiga kura na kufanya sauti zao zisikike.

#WananchiTuamue