+255 746 237 265
Wanawake wameonesha nguvu na uthubutu wao katika mchakato wa uchaguzi, wakitumia haki zao za kikatiba kwa ajili ya maendeleo ya familia, jamii, na taifa. Kwa umoja na azma, wanawake wamesimama imara na kuamua mustakabali wa Maendeleo katika jamii yetu.
Pongezi kwa wanawake wote waliojitokeza kupiga kura na kushiriki katika kuunda mustakabali bora.
#WananchiTuamue