Events
Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa amesema wadau wanaotoa elimu ya sheria wawaelimishe wananchi kuwa ni haki ya mlalamikaji na mlalamikiwa kupewa fursa sawa ya kusikilizwa wakati akifingua Maadhimisho ya Wiki ya Sheria leo mjini Dodoma. #WikiYaSheria
TANLAP was honored to be in attendance for the Reflection meeting on the implementation on National Plan of action-VAWC 2017/18-2021/22, organized by @WiLDAFTz and Prime Minister office with Mr. Joseph Kiraia, the Director of Coordination as the guest of honor.
TANLAP inalaani vikali na inasikitika sana na mauaji ya watoto kumi yaliyotokea #Njombe. Tunawapa pole familia na ndugu kwa misiba hii mikubwa. Tunaungana na wote wanaoziomba mamlaka za Tanzania ziwafikishe katika mikono ya sheria wale wote watakaokutwa na hatia ya matendo haya dhalala. — We are profoundly saddened &horrified by the murders of the 10 children in #Njombe.