Tanzania Network of Legal Aid Providers (TANLAP)

News

Post date: Mon, 11/22/2021 - 10:51
Comments: 0

TANLAP in collaboration with Mwanamke Imara implementers had the opportunity to conduct a working session with trained Paralegals in Moshi DC. The event was organized on 19th November 2021 in Moshi DC attended by 25 trained Paralegals and local government official from Moshi DC. The activity is part of the activities under outcome one of Mwanamke Imara that focus to ensure improved access to justice for women and youth within project areas.

Post date: Thu, 11/11/2021 - 09:55
Comments: 0

Katika kuendeleza maadhimisho ya Wiki ya Msaada wa Kisheria iliyozinduliwa Mkoani Mbeya tarehe 8/11 kwenye viwanja vya Ruanda- Nzovwe, TANLAP kwa kushirikiana na wanachama wake TAWLA, WiLDAF, KWIECO pamoja na Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa wameweza kutoa elimu ya kisheria na huduma ya msaada wa Kisheria Mkoani Njombe, Wilaya ya Ludewa, Kata ya Mavanga, Kijiji cha Mavanga.

Post date: Mon, 11/08/2021 - 21:10
Comments: 0

Leo tarehe 8/11/2021, TANLAP kwa kushirikiana na Mashirika wanachama, Serikali, wadau wa maendeleo na wananchi wa mkoa wa Mbeya wameshiriki uzinduzi wa Wiki ya Msaada wa Kisheria inayoadhimishwa kitaifa Mkoani Mbeya katika viwanja vya Ruanda- Nzovwe. Wiki ya Msaada wa Kisheria itaadhimishwa kuanzia tarehe 8/11 hadi 12/11/ 2021. Wiki ya Msaada wa Kisheria imezinduliwa na Mh. Juma Zuberi Homera- Mkuu wa Mkoa wa Mbeya.

Post date: Mon, 11/08/2021 - 06:56
Comments: 0

Katika maandalizi ya Wiki ya Msaada wa Kisheria itakayoadhimishwa kitaifa mkoani Mbeya tarehe 8-12 Novemba, yenye kauli ''Maboresho endelevu ya haki jinai kuimarisha upatikanaji haki kwa wakai'', TANLAP kwa kushirikiana na TAWLA, WiLDAF, KWIECO pamoja na Hamashauri ya Wilaya ya Busokelo imetoa huduma ya msaada wa kisheria kwa wanachi wa Kata ya Kandete halmashauri ya Busokelo, Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya.

Pages

Reach Us Today

4th Floor, Sky City Mall, Plot no. 403/1&3, Block A, Mlalakuwa
P.O. Box 33856
Dar es Salaam, Tanzania.
Tel:+255 22 2761806 /0746237265