News
MAADHIMISHO YA WIKI YA MSAADA WA KISHERIA, MULEBA, LEO NOV 30, 2018. “Wadau wote waliotajwa na Sheria ya msaada was kisheria wana wajibu wa kusaidia kusukuma Utekelezaji wa Sheria hii, hii ni pamoja na Wizara ya mambo ya ndani, Wizara ya Katiba na Sheria, Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii pamoja na Jamii kwa ujumla - Msajili wa watoa msaada wa kisheria, Bi. Felistas Mushi. #Siku16 #UsalamaWakeWajibuWangu @wildaftz @thrdcoalition @legal_service_facility @unwomen @humanrightstz @mhola_org
MAADHIMISHO YA WIKI YA MSAADA WA KISHERIA, MULEBA, LEO NOV 30, 2018. “Salaam zangu kwenu wanafunzi mjitahidi kujiepusha na vishawishi, msikubali kudanganywa na mtu yeyote, thamani yenu ni kubwa, kati yenu anaweza kutokea Rais - Bi. Christina Kamili, Mkurugenzi wa TANLAP. #Siku16 #UsalamaWakeWajibuWangu @wildaftz @thrdcoalition @legal_service_facility @unwomen @humanrightstz @mhola_org
MAADHIMISHO YA WIKI YA MSAADA WA KISHERIA, KAGERA, LEO NOV 30, 2018. Huduma ya Msaada wa Kisheria ni haki ya msingi ya kila raia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ili kukuza uelewa miongoni mwa wananchi, TANLAP, MHOLA, Wizara ya Katiba Tanzania, pamoja na wadau wengine mkoa wa Kagera wilaya ya Muleba Leo tarehe 30/11/2018 wamefika Shule ya Sekondari Kaigara kuongea na wanafunzi kuhusu umuhimu wa huduma ya msaada ya kisheria kwa jamii. #Siku16 #UsalamaWakeWajibuWangu @wildaftz @thrdcoalition @legal_service_facility @unwomen @humanrightstz @mhola_org
MAADHIMISHO YA WIKI YA MSAADA WA KISHERIA, MULEBA, LEO NOV 30, 2018. “Kwa upande wa watoto was kiume wako kwenye wakati mgumu kwa kizazi hiki hasa kwa kushamiri vitendo vya ulawiti, tunaomba watoto wa kiume mvunje ukimya, ongea na mwalimu wako, ongea na mzazi - Ms. Rosemary Nicodemus, Afisa Ustawi wa Jamii, Muleba. #Siku16 #UsalamaWakeWajibuWangu @wildaftz @thrdcoalition @legal_service_facility @unwomen @humanrightstz @mhola_org