News
UFUNGUZI MAADHIMISHO YA WIKI YA MSAADA WA KISHERIA, KAGERA, LEO NOV 29, 2018. Mtoa huduma ya msaada wa kisheria Bw.Malauri Saulo wa (MAMAS Hope Legal Aid) wa mkoani Kagera akizungumza na wananchi wa mkoa huo katika wiki ya msaada wa kisheria. @SayNO_UNiTE @humanrightstz @LSFTanzania @thrdc @WiLDAFTz #Siku16 #UsalamaWakeWajibuWangu #HearMeToo
UFUNGUZI MAADHIMISHO YA WIKI YA MSAADA WA KISHERIA, KAGERA, LEO NOV 29, 2018 Msajili wa watoa msaada wa kisheria bi Felistas Mushi akiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa #TANLAP katika muendelezo wa wiki ya msaada wa kisheria mkoani Kagera tarehe 29/11/2018 pamoja na wadau wengine mkoani humo. @SayNO_UNiTE @humanrightstz @LSFTanzania @thrdc @WiLDAFTz #Siku16 #UsalamaWakeWajibuWangu #HearMeToo
UFUNGUZI MAADHIMISHO YA WIKI YA MSAADA WA KISHERIA, LEO NOV 29, 2018. “Huduma ya msaada wa kisheria kwa mkoa wa kagera ni Kama chakula lazima ule na Kama hewa lazima uvute” - RC Kagera, Brigedia Jenerali Marco E. Gaguti. @SayNO_UNiTE @humanrightstz @LSFTanzania @thrdc @WiLDAFTz #Siku16 #UsalamaWakeWajibuWangu
Message From #TANLAP Executive Director. #16Days #HumanRights #HerSafetyMyResponsibility #HearMeToo @WiLDAFTz @LSFTanzania @humanrightstz @SayNO_UNiTE @unwomenafrica