Tanzania Network of Legal Aid Providers (TANLAP)

News

Post date: Thu, 12/06/2018 - 11:34
Comments: 0

Mheshimiwa Prof.Palamagamba John Kabudi, Waziri Wa Katiba Na Sheria Wakati Wa Ufunguzi Wa Maadhimisho Ya Wiki Ya Msaada Wa Kisheria Kitaifa Tarehe 26 Novemba, 2018 Morogoro. #TANLAP #Siku16 #UsalamaWakeWajibuWangu

Post date: Wed, 11/28/2018 - 13:00
Comments: 0

Mheshimiwa Prof.Palamagamba John Kabudi, Waziri Wa Katiba Na Sheria Wakati Wa Ufunguzi Wa Maadhimisho Ya Wiki Ya Msaada Wa Kisheria Kitaifa Tarehe 26 Novemba, 2018 Morogoro. #TANLAP #Siku16 #UsalamaWakeWajibuWangu

Post date: Wed, 11/28/2018 - 09:56
Comments: 0

Mgeni rasmi, Waziri wa Katiba na Sheria Prof. Palamagamba Kabudi akimpongeza Mkurugenzi wa #TANLAP Christina Kamili kwa kazi nzuri inayofanywa na Asasi yake kwenye Ufunguzi wa maadhimisho ya wiki ya msaada wa kisheria kitaifa, viwanja vya Morogoro Secondary, mkoa wa Morogoro.

Post date: Wed, 11/28/2018 - 09:53
Comments: 0

Mgeni rasmi, Waziri wa Katiba na Sheria Prof. Palamagamba Kabudi pamoja na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria, Mkuu wa Mkoa Morogoro, Meya wa Morogoro, Wakuu wa Wilaya, RAS, na Mkurugenzi wa TANLAP walishiriki kikamilifu kwenye Ufunguzi wa maadhimisho ya wiki ya msaada wa kisheria kitaifa, viwanja vya Morogoro Secondary, mkoa wa Morogoro Tar 26 Novemba 2018 ikiwa na Kauli mbiu ya Kitaifa isemayo "Huduma ya Msaada wa Kisheria iwakumbuke wakina mama na watoto wa kike."

Pages

Reach Us Today

4th Floor, Sky City Mall, Plot no. 403/1&3, Block A, Mlalakuwa
P.O. Box 33856
Dar es Salaam, Tanzania.
Tel:+255 22 2761806 /0746237265