Tanzania Network of Legal Aid Providers (TANLAP)

News

Post date: Wed, 11/28/2018 - 09:50
Comments: 0

Mkurugenzi wa #TANLAP, Christina Kamili atakuwa akichangia mada inayohusu Mchango wa Asasi za Kiraia katika kutoa msaada wa kisheria nchini Tanzania, leo saa mbili mpaka saa tatu asubuhi East Africa Radio. Tega sikio. #Siku16 #Funguka #UsalamaWakeWajibuWako

Post date: Wed, 11/28/2018 - 09:44
Comments: 0

Katika kila siku #16 za harakati dhidi ya unyanyasaji wa kijinsia, #TANLAP itatuma matukio na ukweli juu ya unyanyasaji dhidi ya wanawake nchini Tanzania na jinsi ya kumaliza #Funguka #usalamawake #wajibuwangu On each of the #16Days of Activism against Gender-Based Violence, #TANLAP will be posting stories and facts about violence against women in Tanzania and how to end it. #HearMeToo #SpeakOut #HerSafety #MyResponsibility

Post date: Wed, 11/28/2018 - 09:42
Comments: 0

Leo #TANLAP imeshiriki kikamilifu mjini Dodoma katika Viwanja vya Jamhuri kwenye tamasha la uzinduzi wa siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia ikiwa na kauli mbiu ya 2018 inayosema “Usalama Wake, Wajibu Wangu” #Siku16 #UsalamaWake #WajibuWangu

Post date: Wed, 11/28/2018 - 09:37
Comments: 0

Hii ni Wiki ya Msaada wa kisheria, Uzinduzi wa Kitaifa Morogoro. Kauli mbiu ya Kitaifa ni "Huduma ya Msaada wa Kisheria iwakumbuke wakina mama na watoto wa kike." #TANLAP Wazungumzaji: Christina Kamili- Mkurugenzi -TANLAP Godfry Mwansho - Mwenyekiti TLS Mkoa wa Morogoro

Pages

Reach Us Today

4th Floor, Sky City Mall, Plot no. 403/1&3, Block A, Mlalakuwa
P.O. Box 33856
Dar es Salaam, Tanzania.
Tel:+255 22 2761806 /0746237265