News
Katika kuhakikisha upatikanaji wa HAKI unaimarika, TANLAP imeunda kikosi kazi ambacho kitakuwa kinafanya kazi ya kufatilia mwenendo wa haki za binadamu, ili kubaini ni wapi penye tatizo na kufanya uchambuzi wa sera ama sheria zinazoonekana kutengeneza mazingira yasiyo rafiki kwa mtoa msaada wa kisheria na wadau wengine wa haki za binadamu. Kikosi kazi hiki pia kitakuwa na wajibu wa kufanya ushawishi kwenye maswala mbali mbali ya yanayoibuliwa, ikiwa ni pamoja na kukutana na wabunge au sekta kadhaa serikalini. #Tanlaptz #HakiSawa
Strengthening and reforming Legal Aid Systems in Africa.
TOPIC: Regulation and Coordination of Legal Aid from central to local government levels.
Experience of the United Republic of Tanzania.
Presented by Ms. Christina Kamili Ruhinda on behalf of the Registrar of Legal Aid Providers