
Timu ya TANLAP tayari ipo Kagera wilayani Karagwe kwa ajili ya uzinduzi wa kampeni ya siku 16 za kupinga ukatili wa Kijinsia hapo kesho tarehe 25 Novemba na pichani ni Mkuu wa Wilaya ya Karagwe na timu yake pamoja na wafanyakazi wa TANLAP wakiongozwa na Mkurugenzi Mtendaji Bi. Christina Kamili.