Tanzania Network of Legal Aid Providers (TANLAP)

Huduma za Msaada wa Kisheria Kyerwa-Kagera

Fri, 11/27/2020 - 23:03 -- tanlap
Date time: 
Friday, November 27, 2020 - 23:00

TANLAP na wadau wengine wameendelea kutoa huduma ya Msaada Wa Kisheria kama sehemu ya maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia. Leo tarehe 27 Novemba,2020 tupo kata ya Isingiro wilayani Kyerwa mkoani Kagera. Pia tulimtembelea Mkuu wa wilaya ya Kyerwa ofisini kwake kujadili namna ya kuwafikishia wananchi wake huduma za Kisheria.

Reach Us Today

Biafra/Kanisani, Bwawani Street
Plot No. 434/42, Along Kawawa Road Kinondoni
P.O. Box 33856
Dar es Salaam, Tanzania.
Tel:+255 22 2761806 /0746237265