Tanzania Network of Legal Aid Providers (TANLAP)

KIKUNDI CHA MWANGAZA CHAELEZEA JINSI MRADI WA UN WOMEN ULIVYOWANUFAISHA

Thu, 09/12/2019 - 12:00 -- tanlap
Date time: 
Thursday, September 12, 2019 - 12:00

Baadhi ya wanawake wa kikundi cha Mwangaza, Kijiji cha Itoju kata ya Izigo wilayani Muleba, Mkoani Kagera wakielezea namna walivyonufaika na mafunzo kutoka kwa Msaidizi wa Kisheria ambaye alipatiwa mafunzo kupitia utekelezaji wa mradi wa TANLAP kwa kushirikiana na MHOLA chini ya ufadhili wa UN WOMEN.

Reach Us Today

Biafra/Kanisani, Bwawani Street
Plot No. 434/42, Along Kawawa Road Kinondoni
P.O. Box 33856
Dar es Salaam, Tanzania.
Tel:+255 22 2761806 /0746237265