Tanzania Network of Legal Aid Providers (TANLAP)

News

Post date: Tue, 10/22/2019 - 10:27
Comments: 0

Salaam kutoka #TANLAP kuhusu namna ambavyo imekuwa ikishiriki katika wiki ya msaada wa Kisheria na kazi za #TANLAP kwa ujumla , #TANLAP inaona changamoto katika huduma ni rasilimali fedha. Wito kwa wadau wote na Serikali ni kufanya juhudi kuhakikisha kwamba kuna fuko kwa ajili ya huduma ya Msaada wa Kisheria kama zilivyo huduma nyingine kama maji, Afya na nyinginezo.

Post date: Mon, 10/21/2019 - 09:02
Comments: 0

Mafunzo ya Sheria ya Msaada wa Kisheria kwa sekretarieti ya Mkoa wa Simiyu tarehe 19/10/2019 katika ukumbi wa mikutano Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

Post date: Mon, 10/21/2019 - 08:39
Comments: 0

Mafunzo ya Wazee washauri wa Mahakama ya Mwanzo, tarehe 20/10/2019 yakiwa yanaendelea Mkoani Simiyu. Mkurugenzi wa TANLAP ‬Bi. Christina kamili amehudhuria mafunzo hayo ikiwa ni pamoja na maandalizi ya maadhimisho ya wiki ya msaada wa kisheria mwaka huu. Maadhimisho hayo yameandaliwa na Wizara ya Katiba na Sheria na wadau wengine mbalimbali.

Post date: Fri, 10/11/2019 - 10:18
Comments: 0

This week from 7th to 10th October 2019, TANLAP visited Anti-GBV Clubs in Secondary schools of Kyerwa, Kayanga,Shunga and Kagango. Clubs have been useful for girls to learn about GBV and are now able to stand and defend for their rights. Establishment of Anti-GBV clubs is part of the project to end violence against women and girls in Kagera supported by UN WOMEN.

Pages

Reach Us Today

Biafra/Kanisani, Bwawani Street
Plot No. 434/42, Along Kawawa Road Kinondoni
P.O. Box 33856
Dar es Salaam, Tanzania.
Tel:+255 22 2761806 /0746237265