Tanzania Network of Legal Aid Providers (TANLAP)

Events

Price:
Location:
Date time:
Thursday, March 5, 2020 - 19:30
Contact:

Huduma za msaada wa kisheria zikiendelea hapa Ngara na wananchi wameendelea kujitokeza kwa wingi kupata huduma ya msaada wa kisheria kwenye maswala mbalimbali yakiwemo ardhi, mirathi, ndoa na mashauri mengine mengi.

Price:
Location:
Date time:
Thursday, March 5, 2020 - 18:30
Contact:

Mkuu wa Wilaya ya Ngara akitoa hotuba na salamu za shukrani kwa TANLAP na UN Women katika uwanja wa Posta ya zamani Wilayani Ngara Mkoani Kagera. Ziara ya TANLAP mkoani Kagera inaendelea na utoaji wa msaada wa kisheria kwa wananchi wa Ngara.

Price:
Location:
Date time:
Tuesday, March 3, 2020 - 19:15
Contact:

TANLAP kupitia ufadhili wa UN WOMEN leo imezindua wiki ya Msaada wa Kisheria wilayani Karagwe mkoa wa Kagera kuelekea siku ya mwanamke duniani. Uzinduzi huo umefanywa na Mkuu wa Mkoa wa Kagera Brig. Gen.

Price:
Location:
Date time:
Tuesday, March 3, 2020 - 19:15
Contact:

Wananchi kutoka sehemu mbalimbali wilayani Karagwe wakipatiwa huduma ya Msaada wa Kisheria katika viwanja vya Kayanga.

Pages

Reach Us Today

Biafra/Kanisani, Bwawani Street
Plot No. 434/42, Along Kawawa Road Kinondoni
P.O. Box 33856
Dar es Salaam, Tanzania.
Tel:+255 22 2761806 /0746237265