+255 746 237 265

info@tanlap.or.tz

*HAKI YETU KIKATIBA, TUMEAMUA SASA*

Watu wenye ulemavu wameonesha nguvu na uthubutu wao katika uchaguzi, wakithibitisha kwamba kila kura ni muhimu. Haki zetu kikatiba ni msingi wa maendeleo na usawa. Tumeamua kushiriki, tumeamua kutimiza haki zetu, na hakuna kura inayopotea. Pongezi kwa watu ..

*VIJANA WAMEAMUA KESHO YAO*

Vijana wamesimama imara na kuamua mustakabali wao. Kwa kujitokeza kupiga kura, wameonyesha dhamira ya kujenga taifa lenye maendeleo, haki, na fursa kwa wote. Kesho ni yetu, na kupitia sauti yetu, tutaunda dunia bora zaidi. Pongezi kwa vijana wote waliochukua hatua ..

WANAWAKE WAMEWEZA NA KUAMUA: Kuwa sehemu ya mabadiliko!*

Wanawake wameonesha nguvu na uthubutu wao katika mchakato wa uchaguzi, wakitumia haki zao za kikatiba kwa ajili ya maendeleo ya familia, jamii, na taifa. Kwa umoja na azma, wanawake wamesimama imara na kuamua mustakabali wa Maendeleo ka..

WANANCHI WAMEAMUA: PONGEZI KWA WALIOPIGA KURA

TANLAP inaishukuru Serikali kwa kutoa kibali cha uangalizi na kwa ushirikiano wakati wote wa kutimiza majukumu ya uangalizi. Pia inatoa pongezi kwa wananchi wote waliojitokeza kupiga kura na kwa wasimamizi wa uchaguzi waliofanya kazi yao kwa weled..

KUELEKEA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 27/11/2024

Maamuzi sahihi huanza na ushirika wako katika kampeni. Hakikisha unahudhuria mikutano ya kampeni kusikiliza sera za wagombea ili kupata kiongozi bora. #WananchiTuamue #uchaguzi #UchaguziwaSerikalizaMitaa2024..

MEDIA AWARENESS ON LOCAL GOVERNMENT ELECTION

As part of USAID Wananchi Tuamue project, TANLAP continued to provide media awareness to the citizen on importance of citizens participartion in Local Government election 2024, their rights to vote and being voted, and laws which govern these elect..

TANLAP YAFANYA MAFUNZO KWA ASASI ZA KIRAIA 56 KUHUSU MASUALA MBALIMBALI YANAYOHUSU UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA

Tarehe 11 Novemba, 2024 TANLAP imefanya mafunzo kwa Asasi za Kiraia 56 kuhusu mifumo ya kisheria inayosimamia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na mchakato mzima wa uchaguzi huo. Mafu..

TANLAP YAANDAA MAFUNZO KWA MAWAKILI KUHUSU UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA

Tarehe 9 Novemba 2024, TANLAP imeendesha mafunzo maalum kwa mawakili 26 kutoka mikoa yote ya Tanzania, yaliyojikita katika kuwajengea uwezo wa kusimamia kesi zinazohusiana na uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika N..

TANLAP YAWANOA WAANDISHI WA HABARI WA VYOMBO MBALIMBALI NCHINI

TANLAP kwa kushirikiana na Ofisi ya Rais TAMISEMI, TCRA na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali wamefanya mafunzo kwa waandishi wa habari kutoka Ofisi ya Rais TAMISEMI na wengine 112 kutoka katika vyombo 90 vya habari vya kitaifa na ..

MAFUNZO KWA WASAIDIZI WA KISHERIA KUHUSU MASUALA MBALIMBALI YAHUSUYO UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA

Mkuu wa kitengo cha habari na mawasiliano kutoka TAMISEMI Bi. Nteghejwa Hosseah amewataka wasaidizi wa kisheria katika wilaya zote nchini, kwenda kutoa elimu sahihi ya masuala ya uchaguzi kwa wa..

TRAINING OF TRAINEES FOR WANANCHI TUAMUE (LET'S DECIDE) PROJECT

On 4th November, 2024 TANLAP through USAID -Wananchi Tuamue (Let’s Decide) project, conducted a Training of Trainers on electoral and democratic processes (Tanzania mainland). 15 participants were equipped and oriented with..

Kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27, 2024

Ukatili wa kijinsia haukubaliki katika mchakato wa uchaguzi #uchaguzi #UchaguziwaSerikalizaMitaa2024 #kataaukatiliwakijinsia #WananchiTuamue..

CALL FOR QUOTATION

Do you want to work with TANLAP? Please apply for this quotation..

Call fo Expression of Interest to undertake the following TANLAP Assignments

Are you passionate about making a difference in the community? Do you have the skills and experience to help us enhance access to justice in Tanzania? The Tanzania Network of Legal Aid Providers (TANLAP) is looking f..

TANLAP EXECUTIVE DIRECTOR IN NAMIBIA

TANLAP’s Executive Director is attending the Southern African Development Community (SADC) Regional Workshop on Enhancing Equal Access to Legal Aid in Criminal Justice Systems from September 24-26, 2024. This workshop is organized by UNODC in partner..

HAPPY BIRTHDAY TANLAP EXECUTIVE DIRECTOR

Happiest birthday our dearly Madam Executive Director #birthday #director #leadership..

JOB ADVERTISEMENT

Join Our Team at TANLAP Are you passionate about making a difference in the community? Do you have the skills and experience to help us enhance access to justice in Tanzania? The Tanzania Network of Legal Aid Providers (TANLAP) is looking for dedicated professionals to j..

TANLAP meeting with Violence Against Women and Children Committee

TANLAP facilitated the Annual meeting for the Violence Against Women and Children Committee. The meeting provided committee members with the opportunity to discuss the successes and challenges of the National Plan of Action on ..

TANLAP Meeting with the High Court of Tanzania - Northern Zone

On December 8, 2023, TANLAP held a meeting with the High Court of Tanzania - Northern Zone to discuss strategies for addressing Gender-Based Violence (GBV) as part of the commemoration of the 16th International Days of Activism ag..

ADR TRAINING TO SELECTED TANLAP MEMBERS

On December 7, 2023, TANLAP conducted a training session for selected Legal Aid Providers and Paralegals on Alternative Dispute Resolution (ADR), justice delivery processes, and their responsibilities in providing legal aid. The training was led by Dr. ..

TANLAP is participating in the Legal Aid Conference in India.

TANLAP is participating in the Legal Aid Conference in India. The conference aim to strengthen and strategizing efforts to enhance access to justice across nations...

TANLAP MEETING WITH MEMBERS OF THE PARLIAMENT

On 8th November 2023, TANLAP under the Mwanamke Imara project engaged selected Members of Parliament to share with them the process to enact the Anti GBV Law. Members of the Parliament commended TANLAP's work under the Mwanamke Imara project for t..

2022 Assessment of Women's Rights and Access to Justice Report

TANLAP disseminated its 2022 Assessment of Women's Rights and Access to Justice Report to the Ministry of Constitutional and Legal Affairs management led by the Minister of Constitutional and Legal Affairs Hon. Amb. Dr. Pindi Chan..

TANLAP MEETING WITH THE MINISTRY OF CONSTITUTIONAL AND LEGAL AFFAIRS

On 7th November 2023, TANLAP under the Mwanamke Imara project continued to engage with the Ministry of Constitutional and Legal Affairs on the enactment of Anti- GBV Act. In her speech, Hon. Ambassador. Dr. Pindi Chana (MP),..

TANLAP MEETING WITH MEMBERS OF THE PARLIAMENT

On 4th November, 2023 TANLAP under Mwanamke Imara project continued its Advocacy on the Enactment of the Ant GBV Law by engaging some selected Members of Parliament to inform them on the development and share with them the process towards its Anti..

TANLAP MEETING WITH MEMBERS OF THE PARLIAMENT

On 4th November, 2023 TANLAP under Mwanamke Imara project continued its Advocacy on the Enactment of the Ant GBV Law by engaging some selected Members of Parliament to inform them on the development and share with them the process towards its Anti..

TANLAP COURTESY VISIT TO LAW REFORM COMMISSION

On 31st October, 2023, TANLAP paid a courtesy visit to the Law Reform Commission (LRC) to discuss with the management on the progress towards enactment of Anti- GBV Law, the initiative under Mwanamke Imara project. The LRC has submitted the repor..

NGO FORUM, 77TH ACHPR ORDINARY SESSION

TANLAP is attending the Forum on the participation of NGOs in the 77th Ordinary Session of the African Commission on Human Rights and People's Rights and 42nd African Human Rights Book Fair from 16th - 18th October, 2023 at AICC Arusha. #people #rights #..

Launching Mama Samia Legal Aid Campaign at Simiyu Region

On 18th September 2023, TANLAP participated in the launching of Mama Samia Legal Aid Campaign in Bariadi-Simiyu region.The aim of the Campaign is to enhance access to justice for indigents through provision of legal aid including legal ..