Mheshimiwa Jaji Mkuu, George Masaju, (Jaji Mkuu mpya) ametumia mamlaka aliyopewa chini ya kifungu Cha 9 Cha Sheria ya Mirathi, (THE PROBATE AND ADMINISTRATION OF ESTATES ACT, CAP 352 R.E 2023) na mamlaka aliyonayo chini ya Sheria ya mahakama ya mahakimu, (section 71 of THE MAGISTRATE COURS ACT CAP 11 [...]